News
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, Dk Khalid Salum Mohammed amesema Serikali itaendelea kuchukua hatua ya ...
Wazee na wastaafu visiwani Zanzibar wamesema wanakumbana na changamoto ya ucheleweshwaji wa huduma ikiwamo kwenye usafiri wa umma, hospitali na benki.
Uwanja wa ndege wa jijini Arusha ulioko eneo la Kisongo, utaanza kutoa huduma za kuruka na kutua ndege saa 24, Desemba mwaka ...
Wakati kukiwa na utitiri wa dawa za kutibu tatizo la maambukizi ya bakteria katika mfumo wa uzazi wa mwanamke ‘PID’ wataalamu wa afya nchini wametaja kipimo sahihi cha kubaini tatizo hilo ...
Benki ya CRDB imeshinda tuzo tatu za kimataifa na kutajwa na jarida la kifedha la kimataifa la Euromoney kama Benki Bora ...
Mtoto wa mfalme wa Saudi Arabia aitwaye Al-Waleed bin Khaled bin Talal Al Saud, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 36 ...
Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya teknolojia ya Astronomer Inc. ya nchini Marekani ameamua kujiuzulu baada ya kunaswa kwenye ...
Zaidi ya Watanzania 500 wamenufaika na mafunzo ya ufundi na utawala nchini Japan kuanzia miaka ya 1980 mpaka sasa.
Kwa muda mrefu, kumekuwapo mjadala kuhusu kuporomoka kwa maadili, hususan ya vijana nchini, hali inayochangiwa na kuwapo ...
Wakati Taifa likiendelea na jitihada za kupunguza maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU), imeelezwa kuwa, uwezo wa ...
Kukosekana kwa maarifa stahiki kwa madereva wa bodaboda, ndiyo sababu iliyotajwa kuchochea makosa ya usalama barabarani kwa ...
Oleksandr Usyk ameonesha kwa mara nyingine kuwa yeye ni bingwa wa kizazi hiki katika mchezo wa ngumi, akimzidi kila idara ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results